JE, UNAHITAJI SIFA GANI KUWA MFAMASIA ?

JE, UNAHITAJI SIFA GANI KUWA MFAMASIA ?
Kama ni mfuatiliaji wa makala hii ya "ZIJUE DAWA ZAKO" ambayo imekuwa ikikuhabarisha habari mbalimbali kuhusu mfamasia , utakua ushajua mfamasia ni nani hasa. Taaluma ya famasia ni moja ya taaluma makini sana ambayo inahitaji watu amkini kuisoma.
Ninapotaja watu makini simaninishi watu wasiokosea, hapana ila watu ambao wamewekeza akili na maisha yao  yote kwajili ya kuitumikia Jamii.
Leo nitazungumzia sifa anazohitaji mtu kuwa nazo ili aweze kusomea ufamasia au utaalamu wa dawa za binadamu, ni kama zifuatazo:
ILI UWEZE KUSOMA SHAHADA YA KWANZA KATIKA ELIMU YA DAWA (BACHELOR OF PHARMACY), SIFA NI KAMA ZIFUATAZO;
  • Awe amefaulu vizuri kwenye masomo ya sayansi, sayansi nikimanisha Biolojia(Biology), fizikia (Physics) na kemia (Chemistry) bila kusahau somo la hesabu(Mathematics).
  • Katika masomo hayo, kama ni hatua ya sekondari (O'level) anaweza kwenda kusoma certificate au Diploma kama amemaliza elimu ya kidato cha sita (A'level).
  • Alama za ufaulu katika masomo hayo zinahitajika kuanzia "C" hadi "A". 
KUSOMA ASTASHAHADA (CERTIFICATE) AU STASHAHADA (DIPLOMA) UNAPASWA UWE NA SIFA ZIFUATAZO;
Uwe umefaulu vyema katika masomo kwa Kiwango cha Alama D au Zaidi kwenye Masomo yafuatayo 
  • Biology
  • Chemistry
  • Physics
  • Basic Mathematics
  • English Language.
Alama hizi ni kutoka kwenye matokeo ya mtihani wa mtihani wa Kidato cha Nne au Mtihani wa kumaliza Elimu ya sekondari (CSSE)
Je, baada kumaliza kusoma Stashahada au Shahada ya famasi ni vitu gani vinahitajika ili mfamasia kuanza kufanya kazi;
  • Awe amemaliza mafunzo/ awe na elimu ya digrii ambayo ameipata kutoka katika chuo kinachotambulika na TCU na Baraza la famasi.
  • Awe amemaliza miezi kumi na miwili ya mafunzo kwa vitendo(internship) katika hospitali au kituo cha mafunzo kinachotambuliwa na baraza la famasi.
  • Awe pia amefaulu mtihani wa taaluma ya famasi (forensic exam) ambao husimamiwa na baraza la famasia.
  • Mwisho atasajiliwa na baraza la famasia na kupatiwa leseni ya kuanza kufanya kazi kama mtaalamu wa dawa za binadamu.

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma makala hii, usisahau kutuachia maoni yako au swali linalohusu mada yetu ya leo.

Image result for pharmacy symbols



Comments

Unknown said…
Je mtu mwenye diploma hawezi kuwa mfamasia
Unknown said…
Je mtu aliye chukuwa CBG hawezi kusomea pharmacy
Unknown said…
mm nmepata physic f chemia c math f biology d naweza kuwa mmfamasia
Unknown said…
Je kama sjasoma physics na chem nawez soma pharmacia
Unknown said…
Je kama sjasoma physics na chem nawez soma pharmacia
Maarifa academy said…
Hapana angalau uwe umesoma CBG
Hizo alama ni O level au Advance ?? Kusoma diploma ya famasi unahitaji D nne ikiwemo Chemistry & Biology zingine zinaweza kuwa za masomo mengine.
Kama hujasoma Chemistry haiwezekani kusoma Pharmacy!
Diploma ya Course gani ndugu ??
Unknown said…
Je Kama. Unaufaulu wa d za biology,chemistry,pia geography upo Kwan uwezekano wa kusoma pharmacy
Anonymous said…
Mtu aliyechukua PCM anaeza somea Pharmacy
Unknown said…
Je Kam sijasoma physics naweza kuwa mfamasia
Unknown said…
mm nasoma kemia,bio,kisw na eng je naweza kusom kemia.
Abdul Azyz said…
Mkuu mwenye diploma ya Pharmaceutical sciScie anaweza soma Bachelor of? Medicine
Unknown said…
Mimi Nina D ya chemistry na Nina C aya biology ngazi ya secondary naweza nikasomea pharmacy ngazi ya certificate?
Unknown said…
Mimi Nina d ya chemistry, c ya biology , nataka nifanye application ya famasia sijajua sasa nimwezi wa ngap dirisha linakuwa wazii
Joyce karume said…
Nimepata chem-D, biology-D, kisw-C, english-D. Je naweza kusomea phamasia??
Mimi Nina chem" C" bios " D" English C geo D kisw D siwez kusomea pharmacy???
Nina C ya chem D bios C kusw C English D geog siwez kusoma pharmacy??
Anonymous said…
Je, Kama una C ya chemistry D ya biology C ya English na D ya math unaweza kusoma pharmacy???
Anonymous said…
Ukiwa na F ya physics unaweza Soma pharmacy??
Anonymous said…
MM niana C ya masomo ya chemia na biology phy F na math D je naweza kusoma phamarcy??
Anonymous said…
Mim ni c ya chemistry, c ya bios na c ya English na d ya physics matokeo ya kidato cha NNE naweza kusoma phamarcy naomba majibu




Anonymous said…
Mimi nimepaa chemia D biology D geograph D kiswhili B english D yaanibkatika masomo kuMi nina f mbili math na ph bas
Anonymous said…
Je , nikimaliza nimemaliza mafunzo ya diproma ya ufamasia silihusiw kuanza kufany kazi
Anonymous said…
Je Kama umesoma biology tu huwezi kusoma pharmacy?
Anonymous said…
Mimi nimepat biology-D kiswahili-C English-D na math--f je naweza kisoma pharmacy
Anonymous said…
Mimi nime pata physics D, chemistry D.mathematics F.je nitaweza somea pharmaceutical.????
Anonymous said…
Nmemalza olevel nimefaulu c,chem b, bios b, geo naweza kusoma pharmacia
Anonymous said…
Je nimemaliza form 4 nasoma diploma ya ufamasia. Nikitaka kwenda degree lazima uwe na physics o level?
Anonymous said…
Mm nimoepata D na E _E kwnye combi ya Cbg je naweza kusoma,pharmasia