JE, UNAHITAJI SIFA GANI KUWA MFAMASIA ?
Kama ni mfuatiliaji wa makala hii ya "ZIJUE DAWA ZAKO" ambayo imekuwa ikikuhabarisha habari mbalimbali kuhusu mfamasia , utakua ushajua mfamasia ni nani hasa. Taaluma ya famasia ni moja ya taaluma makini sana ambayo inahitaji watu amkini kuisoma.
Ninapotaja watu makini simaninishi watu wasiokosea, hapana ila watu ambao wamewekeza akili na maisha yao yote kwajili ya kuitumikia Jamii.
Leo nitazungumzia sifa anazohitaji mtu kuwa nazo ili aweze kusomea ufamasia au utaalamu wa dawa za binadamu, ni kama zifuatazo:
ILI UWEZE KUSOMA SHAHADA YA KWANZA KATIKA ELIMU YA DAWA (BACHELOR OF PHARMACY), SIFA NI KAMA ZIFUATAZO;

- Awe amefaulu vizuri kwenye masomo ya sayansi, sayansi nikimanisha Biolojia(Biology), fizikia (Physics) na kemia (Chemistry) bila kusahau somo la hesabu(Mathematics).
- Katika masomo hayo, kama ni hatua ya sekondari (O'level) anaweza kwenda kusoma certificate au Diploma kama amemaliza elimu ya kidato cha sita (A'level).
- Alama za ufaulu katika masomo hayo zinahitajika kuanzia "C" hadi "A".
Uwe umefaulu vyema katika masomo kwa Kiwango cha Alama D au Zaidi kwenye Masomo yafuatayo
- Biology
- Chemistry
- Physics
- Basic Mathematics
- English Language.
Alama hizi ni kutoka kwenye matokeo ya mtihani wa mtihani wa Kidato cha Nne au Mtihani wa kumaliza Elimu ya sekondari (CSSE)
Je, baada kumaliza kusoma Stashahada au Shahada ya famasi ni vitu gani vinahitajika ili mfamasia kuanza kufanya kazi;
Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma makala hii, usisahau kutuachia maoni yako au swali linalohusu mada yetu ya leo.
- Awe amemaliza mafunzo/ awe na elimu ya digrii ambayo ameipata kutoka katika chuo kinachotambulika na TCU na Baraza la famasi.
- Awe amemaliza miezi kumi na miwili ya mafunzo kwa vitendo(internship) katika hospitali au kituo cha mafunzo kinachotambuliwa na baraza la famasi.
- Awe pia amefaulu mtihani wa taaluma ya famasi (forensic exam) ambao husimamiwa na baraza la famasia.
- Mwisho atasajiliwa na baraza la famasia na kupatiwa leseni ya kuanza kufanya kazi kama mtaalamu wa dawa za binadamu.
Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma makala hii, usisahau kutuachia maoni yako au swali linalohusu mada yetu ya leo.
Comments